Tanzania Yaainisha Mikakati Minne Kukabili Mabadiliko Tabianchi COP 31

Na Benny Mwaipaja, Antalya-Uturuki Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, amesema Serikali imepanga kutumia mbinu…

Rais Samia: Sasa ni Wakati wa Maridhiano

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mazugumzo na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, huku akisema…

Tanapa Yashiriki Jukwaa la 24 la ‘African Wildlife Consultative Forum’ Jijini Arusha

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ni miongoni mwa washiriki wa Jukwaa la 24 la…

TANESCO Yawasilisha Mpango wa Kufikia Uzalishaji wa Megawati 8,000 Ifikapo 2030

-Dkt.Homera ataka kasi utekelezaji Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) leo Novemba 16, 2026, limewasilisha kwa Waziri…

Ndejembi Ahitimisha Ziara ya Siku 7 Mikoa ya Kusini

-Ahitimishia Kibiti akiwaonya wanaochezea fedha za umma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

Maridhiano ya Taifa Yanahitaji Majadiliano Jumuishi

Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Julius Nyerere katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa…

Watanzania Kupata Taarifa za Matukio nchini Kupitia App ya Kunani Tizii

-Kuwaunganisha wananchi na matamasha, michezo, mikutano na shughuli mbalimbali nchini Upatikanaji wa taarifa za matukio mbalimbali…

Tanzania Yapanga Njia ya Kuziba Pengo la Mabilioni ya Fedha Kukabiliana na Mabadiliko Tabianchi

Na Benny Mwaipaja, Antalya-Uturuki Maofisa wa Serikali ya Tanzania, wataalam wa fedha na washirika wa maendeleo…

Tanzania Yahitaji Trilioni 31.8 Kuziba Nakisi Ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Na Benny Mwaipaja, Antalya, Uturuki Tanzania, kwa kushirikiana na taasisi za fedha za kimataifa na washirika…

Tanzania Yakaribia Kupata Dola Milioni 280 Kukamilisha Ujenzi wa SGR

Na Benny Mwaipaja, Antalya-Uturuki Serikali ya Tanzania iko katika hatua za mwisho za mazungumzo na Benki…