Ndejembi: Masasi Kupata Umeme wa Uhakika Baada ya Kukamilika kwa Mradi wa Songea-Tunduru-Masasi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewahakikishia wananchi wa Wilaya…

Rais Samia: Wananchi Wote Kupata Nishati Safi ya Kupikia Ifikapo 2034

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali inalenga kuhakikisha wananchi wote wanapata nishati safi ya kupikia…

Watu Bilioni Moja Afrika Hawana Nishati Safi ya Kupikia

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema takribani watu bilioni moja barani Afrika hawana upatikanaji wa nishati…

Rais Samia: Tumeongeza Kasi Matumizi Nishati Safi ya Kupikia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali inalenga kuhakikisha asilimia…

Nishati Jadilifu Kuchangia Megawati 1,892 Ifikapo 2030- Dkt. Mataragio

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dkt. James Mataragio, amesema Serikali inalenga…

Homera Ampongeza Rais Samia Kuongoza kwwa Vitendo Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika

-Ataja matumizi ya nishati safi kupanda kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 28.6 mwaka…

Rais Samia Kuhamasisha na Kujenga Wodi za Watoto Njiti Barani Afrika

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepanga kutumia uzoefu wa Tanzania…

Rais Samia: Mageuzi Nishati Safi Yaboreshe Maisha ya Wananchi

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania inaendeleza mageuzi ya nishati safi kwa kuhamasisha matumizi ya…

Rais Samia Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Shule, Hospitali

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia katika shule, hospitali na…

Ndejembi Aelekeza Bil. 8.4 Kukamilisha Ujenzi Stendi Namtumbo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amepongeza ujenzi wa mradi…