Karume afukuzwa uanachama CCM.

Baada ya sintofahamu ya muda mrefu, hatimaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemfukuza uanachama wa Chama hicho…

Rais Samia azindua Bima ya Tafakul

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa huduma…

Wizara ya Mifugo kuanzisha BBT kwenye mifugo.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema Wizara yake imejipanga  kuanzisha programu ya BBT…

Rais Samia awasili Malawi kwa mwaliko maalum.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi…

Jumatano tulivu kabisa, soma gazeti lako pendwa la Tanzania Leo kiganjani kwako likiwa limesheheni. Tembelea App ya Rifaly sasa usome sasa.

Umoja wa Ulaya waipiga jeki Serikali ya Rais Samia kwenye maendeleo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshuhudia Serikali yake ikisaini…

TTCL yaendelee kupiga hatua katika kutoa huduma

MWENYEKITI wa Bodi Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)Zuhura Muro amesema kutokana na dunia ya sasa ipo…

Serikali imefikia hatua ya mwisho ya mazungumzo mradi wa LNG.

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema mazungumzo baina ya serikali kuhusu mradi…

Rais Samia ashuhudia Tanzania ikipata msaada wa kibajeti na kimaendeleo kutoka Umoja wa Ulaya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Julai 04, 2023…

Kiswahili kinavunja rekodi, redio na runinga 38 zinatumia Kiswahili duniani kote.

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amewataka Wahariri…