Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta

WhatsApp-Image-2026-03-03-at-06.01.15-1-1024x683 Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi leo Machi 03, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati zinazoshughulikia sekta ya mafuta na gesi katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es salaam.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, anayeshughulikia Mafuta na Gesi Dkt. James Mataragio, Kamishna wa Mafuta kutoka Wizara ya Nishati Goodluck Shirima, Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA James Mwainyekule, Mtendaji Mkuu wa TPDC Mussa Makame Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) Bruno Tarimo pamoja na wataalamu wengine kutoka wizarani na Taasisi hizo.

Kikao hicho kinalenga kuimarisha usimamizi, uwazi na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Taasisi hizo ili kuimarisha sekta ya mafuta na gesi nchini.

WhatsApp-Image-2026-03-03-at-06.01.15-1024x683 Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta
WhatsApp-Image-2026-03-03-at-06.01.12-1024x683 Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta
WhatsApp-Image-2026-03-03-at-06.01.11-1-1024x683 Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta
WhatsApp-Image-2026-03-03-at-06.01.11-1024x683 Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta
WhatsApp-Image-2026-03-03-at-06.01.10-1-944x1024 Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta
WhatsApp-Image-2026-03-03-at-06.01.10-1024x869 Waziri Ndejembi akutana na taasisi za mafuta na gesi kuimarisha ushirikiano wa kisekta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *