Sokabet yatumia bil. 44.7/- kuwazawadia washindi wa Agosti

Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Sokabet, imetumia jumla ya shilingi 44, 658,787,637 kuwazawasia washindi mbalimbali kwa mwezi Agosti.

Hayo yamesemwa na Meneja Msaidizi wa Huduma kwa Wateja wa Sokabet Tanzania, Lazaro Mduma, wakati wa zoezi la kumkabidhi fedha mmoja wa washindi ambapo alimtaja R. Likwawa kuwa ndiye mshindi wa shilingi milioni 143.1 milioni kupitia mchezo wa Shining Crown.

Mduma amesema Likwawa ni moja ya washindi walioshinda fedha nyingi katika michezo yao mbalimbali na kushika nafasi ya pili huku A. Mwakalinga akishika nafasi ya kwanza kwa kupata sh. milioni 180.

Mwakalinga ameshinda fedha hizo kupitia mchezo wa slot wa mtandaoni unaofahamika kama 20 Burning Hot unaotolewa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya Sokabet Tanzania.

Mduma amesema nafasi ya tatu imechukuliwa na B. Mushi akipata shilingi milioni 109 katika mchezo wa 40 Extra Crown Buy Bonus huku F. Mwasumbi alishinda shilingi milioni 98.48 na E. Kessy alipata shilingi milioni 82.8 kwa mchezo wa 40 Super Hot.

Washindi wengine ni H. Omary aliyepata shilingi milioni 80, G. Nkya shilingi milioni 50.3, M. Mbwambo shilingi milioni 24.2 na E. Shirima aliyeshinda shilingi milioni 24 walishinda kupitia mchezo wa Live Casino Crazy Time

Pia katika orodha hiyo ni Asha Kimaro alijinyakulia shilingi milioni 21.53, D. Massawe akipata shilingi milioni 21.29 na N. Mgaya alipata shilingi milioni 20 katika mchezo wa Monopoly. Washindi wengine waliotajwa katika matokeo hayo ni H. Chande aliyeshinda shilingi milioni 19.6, G. Mwakasege shilingi milioni 18.76 na K. Lyimo shilingi milioni 17.34.

Big-Win-1.jpg-1024x579 Sokabet yatumia bil. 44.7/- kuwazawadia washindi wa Agosti

Mduma amesema Sokabet Tanzania inatoa michezo ya slot mtandaoni katika makundi mbalimbali, yakiwamo video slots, classic slots, jackpot, free spins na michezo yenye chaguo la kununua bonansi ambapo wateja wanaweza pia kutumia huduma ya USSD kwa kubonyeza *149*35#, https://sokabet.co.tz/ au kupiga simu 0800 784242 kwa maelezo Zaidi

“Mbali na michezo ya slot, jukwaa hilo pia linatoa huduma za Live Casino, Virtual Games, Crash Games na sports na bidhaa nyingine za michezo ya mtandaoni,” alisema. Pia Sokabet ina mchezo wa Zeppelin ambao wenye mfanano na aviator ambao umetoa zaidi ya kiasi 3,837,558,164 kwa mwezi agosti.

Kwa upande wake, Mwakalinga amesema amefurahishwa na ushindi huo mkubwa, akisema hakutarajia kupata kiasi hicho cha fedha.

“Nina furaha sana kushinda kiasi hiki cha fedha. Sikuwa na fikra za siku moja kupata ushindi huu mnono kwa kutumia kiasi kidogo tu katika kucheza michezo ya mtandaoni ya kampuni ya Sokabet,” amesema.

Amesema anapanga kutumia kwanza kukaa na familia yake wapange kwa pamoja sehemu ya fedha hizo katika uwekezaji ili kuboresha maisha yake na ya familia yao kwa ujumla.

“Nitatumia fedha hizo kwa kufanya mambo mbaimbali ya maendeleo yangu na familia yangu. Nawashauri vijana wenye umri zaidi ya miaka 18 kuendelea kubashiri na Sokabet ambao wana michezo mbalimbali ya mitandaoni ambayo inakupa chaguo kubwa katika kucheza,” amesema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *