Taifa Stars yaitandika Mongolia 3-0 FIFA Series 2024

Na Badrudin Yahaya TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeibuka na ushindi wa mabao 3-0…

TBPL yasaini mkataba usambazaji wa viuatilifu hai vitakavyolinda mazao, afya za binadamu

Na Zahoro Mlanzi, Pwani KIWANDA cha Kibaiolojia cha Tanzania Biotech Product limited (TBPL) cha mkoani hapa,…

Dabo: Simba SC imecheza ‘butua butua’

Na Badrudin Yahaya KOCHA wa timu ya Azam FC, Yusuph Dabo, amesema Simba hawakucheza mpira wowote…

Simba, Azam FC ngoma ngumu CCM Kirumba

Na Badrudin Yahaya KIUNGO wa timu ya Simba SC, Clatous Chama, ameibuka shujaa kwa upande wa…

Gamondi akiri Yanga haichezi vizuri kwa sasa

Na Badrudin Yahaya KOCHA wa timu ya Yanga SC, Miguel Gamondi, amesema kwasasa kitu muhimu kwake…

Yanga SC mambo magumu kwa Kagera Ligi Kuu

Na Badrudin Yahaya KLABU ya Soka ya Yanga, imeshindwa kukwea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu…

Simba SC, Chama kiroho safi wamemalizana

Na Badrudin Yahaya UONGOZI wa timu ya Simba SC, umemsamehe mchezaji wao, Clatous Chama na kumpa…

Yanga mikononi mwa Polisi TZ, Simba kuivaa TRA michuano ya ASFC

Na Badrudin Yahya MABINGWA wa tetezi wa michuano ya Azam Sport Federation Cup (ASFC), timu ya…

Azam FC yajipigia Green Warriors 4-0

Na Badrudin Yahaya TIMU ya Azam FC, leo imejaribu silaha zake mpya kwa kucheza mechi ya…

Klopp atangaza kuondoka Liverpool

MERSEYSIDE, England KOCHA wa timu ya Liverpool, Jurgen Klopp, ametangaza kuachia ngazi ya kuendelea kukinoa kikosi…