REA yaalika wadau kutembelea banda Wiki ya Utumishi wa Umma Chinangali

Na Mwandishi Wetu

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Renatus Msangira kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), leo Juni 16, 2026 amewaongoza watumishi wa REA katika kuwaeleza wadau kuhusiana na miradi mbalimbali inayotekelezwa, hatua iliyofikiwa na mipango iliyopo kwa wannachi wanaotembelea banda la REA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi kwa Umma 2026 yaliyoanza leo jijini Dodoma.

Maadhimisho ya mwaka huu yamepambwa na kaulimbiu inayosema “Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu”

2-13-1024x694 REA yaalika wadau kutembelea banda Wiki ya Utumishi wa Umma Chinangali
3-10-1024x637 REA yaalika wadau kutembelea banda Wiki ya Utumishi wa Umma Chinangali
4-9 REA yaalika wadau kutembelea banda Wiki ya Utumishi wa Umma Chinangali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *