Rais Samia ateta jambo na mwalimu wake wa Mzumbe

WhatsApp-Image-2026-11-02-at-03.29.58-781x1024 Rais Samia ateta jambo na mwalimu wake wa Mzumbe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mzee George Owen Mpelumbe ambaye alikuwa Mwalimu wake wakati akisoma Chuo Kikuu cha Mzumbe wakati huo kikijulikana kama Taasisi ya Usimamizi wa Maendeleo – IDM Mzumbe mwaka 1986). Rais Dkt. Samia alikutana na Mwalimu wake huyo katika hafla la uapisho wa viongozi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.

WhatsApp-Image-2026-11-02-at-03.29.54-1024x666 Rais Samia ateta jambo na mwalimu wake wa Mzumbe
WhatsApp-Image-2026-11-02-at-03.29.56-1024x904 Rais Samia ateta jambo na mwalimu wake wa Mzumbe
WhatsApp-Image-2026-11-02-at-03.29.58-1-781x1024 Rais Samia ateta jambo na mwalimu wake wa Mzumbe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *