Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani

WhatsApp-Image-2026-08-14-at-05.18.14-1-1024x786 Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

Mwanamuziki kutoka Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone, ni miongoni mwa wasanii wanaotoa burudani katika Tamasha la Kizimkazi 2026, hatua inayoonesha namna tamasha hilo linavyozidi kuvuka mipaka ya Tanzania na kuvutia washiriki kutoka Afrika Mashariki na maeneo mengine ya Afrika.

Chameleone alitumbuiza katika Usiku wa Kizimkazi na leo ametoa burudani katika hafla ya kilele cha tamasha hilo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Tamasha la Kizimkazi 2026, lenye kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga: Shangwe na Fursa,” lilianza Agosti 12 na linafikia kilele leo, Agosti 14, katika Uwanja wa Mwehe, Makunduchi.

WhatsApp-Image-2026-08-14-at-05.18.15-1024x788 Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani
WhatsApp-Image-2026-08-14-at-05.18.16-1-1024x891 Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani
WhatsApp-Image-2026-08-14-at-05.18.16-1024x819 Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani
WhatsApp-Image-2026-08-14-at-05.18.17-1024x683 Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani
WhatsApp-Image-2026-08-14-at-05.18.18-1024x757 Kutoka Kampala hadi Kizimkazi, Jose Chameleone akitoa burudani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *