Dkt. Kusiluka afungua kikao kazi cha Maofisa Habari serikalini

Na Salha Mohamed

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, leo Desemba 17, 2025 amefungua Kikao Kazi cha Kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Maofisa Habari wa Serikali ambacho kinafanyika katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.

3-5-1024x683 Dkt. Kusiluka afungua kikao kazi cha Maofisa Habari serikalini

Kikao kazi hicho kinachoongozwa na Kaulimbiu: “Utu na Mawasiliano Yenye Uwajibikaji” kimeandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa kushirikiana na Idara ya Habari (Maelezo).

1-7-1024x683 Dkt. Kusiluka afungua kikao kazi cha Maofisa Habari serikalini
2-2-1024x683 Dkt. Kusiluka afungua kikao kazi cha Maofisa Habari serikalini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *