CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni

WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.07-3-1024x777 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid akiwa kwenye kikao kazi na Kansela wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) wa Ubalozi wa China nchini Tanzania, Xu Sujiang, leo Jumatatu Aprili 27 2026, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kupokea ugeni wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Liu Haixing, anayetarajiwa kufanya ziara rasmi nchini, mwezi Mei 2026.

WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.07-1-1024x679 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni
WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.07-2-1024x777 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni
WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.07-4-1024x679 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni
WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.08-1024x711 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni
WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.08-1-1024x631 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni
WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.09-1024x649 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni
WhatsApp-Image-2026-04-27-at-07.55.09-1-1024x832 CCM na CPC yajiandaa kupokea ugeni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *