Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU

WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.55-1024x767 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU

Na Mwandishi Wetu

RAIS wa Mkutano wa 153 wa IPU na Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amekutana na wajumbe wa umoja wa kundi la Kijografia na Kisiasa (12 Plus Group).

Mazungumzo yao yamelenga kuratibu sera, mitazamo, na msimamo mbalimbali inayojadiliwa kwenye mkutano wa 153 wa IPU.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo Oktoba 8, 2026 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC).

#IPU153Tanzania

WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.55-1-1024x767 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.56-1024x767 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.56-1-1024x768 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.57-1-1024x768 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.58-1024x767 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.58-1-1024x767 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.58-2-1024x767 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.58-2-1-1024x768 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU
WhatsApp-Image-2026-10-08-at-00.39.59-768x1024-1 Zungu Ateta na Kundi la Kimkakati Mkutano wa IPU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *