Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo

WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.12-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amewasilisha maboresho ya Kanuni za Sheria Ndogo za LNG mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Cecilia Pareso.

Kikao hicho kimefanyika leo, Oktoba 20, 2026 katika Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dodoma, kikiwa na ushiriki wa wajumbe wa Kamati hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA, Ndg. Salum Mnuna, wawakilishi wa Taasisi za Mafuta na Gesi chini ya Wizara ya Nishati pamoja na wataalam wa sekta husika.

WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.13-1-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo
WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.13-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo
WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.14-2-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo
WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.14-1-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo
WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.15-1-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo
WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.15-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo
WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.16-1-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo
WhatsApp-Image-2026-10-20-at-03.54.16-1024x682 Wizara ya Nishati Yawasilisha Maboresho ya Kanuni za Min-LNG Kwa Kamati ya Sheria Ndogo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *