Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma

WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.42.03-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo Dodoma, amekutana na kufanya mazungumzo na wakuu wa mikoa sita wa mikoa ya mpakani ya Tanzania waliomtembelea kwa ajili ya kujadiliana na kuimarisha masuala ya Ulinzi na Usalama wa nchi.

Wakuu wa Mikoa hiyo waliokutana na Waziri wa Ulinzi na JKT ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, Balozi Batilda Burian ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mkuu wa mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Yahya Kido, pia katika kikao hicho alikuwapo Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Donald Msengi.

Aidha, wakuu hao wa mikoa ya mipakani walipata fursa ya kutembelea Ofisi za Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa na kujionea jinsi inavyofanya kazi.

WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.42.02-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.42.01-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.42.00-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.41.58-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.41.57-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.41.55-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.41.53-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.41.52-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.41.50-1024x682 Waziri wa Ulinzi na JKT ateta na wakuu wa mikoa ya mipakani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *