
Wajumbe, pamoja na washiriki wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyowasilisha kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimaitaifa Arusha (AICC), jijini Arusha, leo Oktoba 5, 2026.
#IPU153Tanzania






