Salmini autaka Udiwani Kata ya Mwembesongo

ajitosa-2 Salmini autaka Udiwani Kata ya Mwembesongo

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) Wilaya ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (UVCCM) Taifa – Kuiwakilisha Chipukizi, Salmini Nchimbi, amechukua na kurudisha fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mwembesongo, Wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.

Salmini ni miongoni mwa vijana wachache walioamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo.

ajitosa-683x1024 Salmini autaka Udiwani Kata ya Mwembesongo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *