Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Uzinduzi wa Minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na Makabidhiano ya Mkongo wa Mawasiliano Serikalini ukumbi wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma leo Aprili 10,2026.
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa uzinduzi wa minara hiyo na viongozi walioshiriki katika hafla hiyo.







