Rais Samia ashiriki Mkutano wa AU, Addis Ababa Ethiopia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) na Serikali kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC) Jijini Addis Ababa Nchini Ethiopia leo Februari 13, 2026.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *