Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 30,2026, amepokea ripoti tatu za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) naya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Samia amepokea ripoti ya utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kipindi cha mwaka 2024 – 2025 kupitia Kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Crispin Chalamila.
Aidha, amepokea taarifa ya utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kwa kipindi cha mwaka 2024 – 2025 kupitia Kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi, Crispin Chalamila.
Ripoti ya tatu ameipokea ya utendaji Kazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Dennis Simba.







