Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

LEO Aprili 14, 2026, nimetembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa Mji wa AFCON Fumba uliopo Mkoa wa Mjini Magharibi.

Katika ziara hiyo, nimejionea hatua mbalimbali za ujenzi wa uwanja wa kisasa unaojengwa na kampuni ya ORKUN GROUP ya Uturuki, ambao unatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya maandalizi ya michuano ya AFCON 2027 itakayofanyika kwa ushirikiano wa Kenya, Uganda na Tanzania.

Aidha, nimekagua mipango ya maendeleo ya miundombinu inayozunguka uwanja huo ikiwamo hospitali, barabara, maeneo ya biashara na huduma nyingine muhimu zitakazochochea ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.

Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi hii ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa viwango vinavyokubalika kimataifa.

WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.49-1-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.49-1-1-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.50-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.50-2-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.50-3-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.51-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.51-2-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.51-3-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-08.47.52-1024x682 Rais Mwinyi akagua maendeleo mradi wa mji wa AFCON

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *