Rabia ateta na Kansela wa CPC Balozi Xu

WhatsApp-Image-2026-04-16-at-05.21.26-1024x770 Rabia ateta na Kansela wa CPC Balozi Xu

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa – Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid, amefanya Kikao kazi na Kansela wa Chama Cha Kikomunisti (CPC), Ubalozi wa China nchini Tanzania Xu Sujiang leo Aprili 16, 2026, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Lengo la kikao hicho ni kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali yanayolenga kuimarisha uhusiano na itikadi za vyama hivyo.

WhatsApp-Image-2026-04-16-at-05.21.28-1024x634 Rabia ateta na Kansela wa CPC Balozi Xu
WhatsApp-Image-2026-04-16-at-05.21.30-1024x739 Rabia ateta na Kansela wa CPC Balozi Xu
WhatsApp-Image-2026-04-16-at-05.21.32-1024x700 Rabia ateta na Kansela wa CPC Balozi Xu
WhatsApp-Image-2026-04-16-at-05.21.34-1024x682 Rabia ateta na Kansela wa CPC Balozi Xu
WhatsApp-Image-2026-04-16-at-05.21.36-1024x682 Rabia ateta na Kansela wa CPC Balozi Xu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *