Mongella amkabidhi ofisi Aggrey Mwanri

WhatsApp-Image-2026-08-01-at-08.10.42-1024x682 Mongella amkabidhi ofisi Aggrey Mwanri

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri akipokewa na kusalimiana kwa tabasamu na bashasha na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Ndugu John Mongella, leo Jumamosi, tarehe 1 Agosti 2026, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, wakati wa mapokezi ya Wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, walioteuliwa hivi karibuni.

WhatsApp-Image-2026-08-01-at-08.11.43-1024x740 Mongella amkabidhi ofisi Aggrey Mwanri
WhatsApp-Image-2026-08-01-at-08.12.25-1024x617 Mongella amkabidhi ofisi Aggrey Mwanri
WhatsApp-Image-2026-08-01-at-08.12.27-1024x615 Mongella amkabidhi ofisi Aggrey Mwanri

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akiongoza Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, wakati wa kuwapokea na kuwatambulisha wajumbe walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), hivi karibuni. Katika kikao hicho kilichofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, leo Jumamosi, tarehe 1 Agosti 2026, pia Balozi Dkt. Migiro alishuhudia makabidhiano ya ofisi na majukumu kati ya viongozi wapya na wanaoondoka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *