Migiro awafunda Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32

WhatsApp-Image-2026-09-29-at-15.59.34-1024x682 Migiro awafunda Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Asha-Rose Migiro, amefungua semina elekezi kwa Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32, leo Septemba 29, 2026, jijini Dodoma.

WhatsApp-Image-2026-09-29-at-15.59.25-1024x734 Migiro awafunda Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32

Semina hiyo ya siku mbili inalenga kuwajengea uwezo viongozi hao kuhusu majukumu yao ya kiuongozi, uendeshaji wa shughuli za chama pamoja na utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi.

Akifungua semina hiyo, Ndugu Migiro amesisitiza umuhimu wa viongozi hao kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi na kuzingatia misingi, kanuni na taratibu za chama.

WhatsApp-Image-2026-09-29-at-15.59.27-1024x716 Migiro awafunda Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32
WhatsApp-Image-2026-09-29-at-15.59.26-1024x606 Migiro awafunda Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32
WhatsApp-Image-2026-09-29-at-15.59.23-1024x602 Migiro awafunda Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32
WhatsApp-Image-2026-09-29-at-15.59.34-1-1024x682 Migiro awafunda Kaimu Makatibu wa CCM mikoa 32

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *