Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne

WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.50-1024x683 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne

Na Sixmund Begashe, Njombe

TIMU za Maliasili Sports Club chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii, zimeendelea kuwanyanyasa wapinzani wao kwa kushinda michezo mbalimbali ya Mei Mosi inayoendelea Mkoani Njombe.

Timu ya Kamba Maliasili Wanaume katika kumtafuta mshindi wa kwanza kundi “A” imeiburaza vibaya timu ya Hazina kwa 2-1, mchezo ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa na washabiki wa timu hizo.

Kwa upande wa Mchezo wa riadha, wakimbiaji wa Maliasili, Elibariki Buko, ameshika nafasi ya tatu katika mbio za Mita 3,000 na nafasi ya 3 tena kata 800, Pily Samwel naye akishika nafasi ya 3 katika mbio 3,000, huku Jehovaness Sarakikya akinyakuwa nafasi ya 3 Mita 800.

Katika mashindano hayo ya mwaka huu, Wizara ya Maliasili imeshiriki pia katika michezo ya Draft pamoja na urushaji wa Tufe.

WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.49-1024x683 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne
WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.48-1024x683 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne
WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.47-1024x551 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne
WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.42-1-1024x683 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne
WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.42-1024x683 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne
WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.40-1-1024x683 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne
WhatsApp-Image-2026-04-21-at-11.34.40-1024x683 Maliasili yaiburuza hazina, yazoa medali nne

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *