Katibu Mkuu CCM afanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini

WhatsApp-Image-2026-07-16-at-10.02.49-1024x682 Katibu Mkuu CCM afanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini

Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Asha-Rose Migiro, amefanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tone Tinnes, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Julai 15,2026, viongozi hao walijadiliana kuhusu uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Ufalme wa Norway, pamoja na maeneo ya ushirikiano yanayohusu maendeleo ya kidemokrasia, utawala bora, ujenzi wa taasisi na maendeleo endelevu.

WhatsApp-Image-2026-07-16-at-10.02.51-682x1024 Katibu Mkuu CCM afanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini
WhatsApp-Image-2026-07-16-at-10.02.53-1024x682 Katibu Mkuu CCM afanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini
WhatsApp-Image-2026-07-16-at-10.02.56-682x1024 Katibu Mkuu CCM afanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *