Na Mwandishi Wetu, Arusha
Wabunge mbalimbali wakiwasili na kujisajili katika Kituo cha Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaozinduliwa leo Oktoba 5, 2026 na Rais Samia Suluhu Hassan. Mkutano huo unafanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5–9, 2026.












