Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni

WhatsApp-Image-2025-09-29-at-04.00.34-1024x670 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi jana Septemba 28, 2025 ametoa ahadi ya Upanuzi kwenye maegesho ya Kivuko cha Magogoni na Kigamboni, lengoa ikiwa ni kuondoa foleni pamoja na kuboresha huduma katika kivuko hicho.

Dkt. Nchimbi ametoa ahadi hiyo jana akizungumza na wananchi wa Kigamboni katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Urais kuelekea Oktoba 29.

“Lakini vile vile katika miaka hii mitano, tumedhamiria kuhakikisha matengenezo ya Vivuko vyetu vya MV Magogoni na MV Kigamboni yanafanyika haraka” amesema Dkt. Nchimbi.

Dkt. Emmanuel John Nchimbi ni Mgombea mwenza wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 wakipeperusha Bendera ya CCM, ambapo Mkoa wa Dar es Salaam unakuwa wa 15 kufikiwa na Dkt. Nchimbi katika kusaka kura za Ushindi kwa chama hicho Tawala.

WhatsApp-Image-2025-09-29-at-04.00.36-1024x604 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-29-at-04.00.36-1-1024x587 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.15-1024x790 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.14-1024x829 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.13-1-1024x538 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.13-1024x682 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.12-1-1024x636 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.10-1-1024x624 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.10-1-1-1024x624 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.09-1024x638 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni
WhatsApp-Image-2025-09-28-at-09.06.11-1024x682 Dkt. Nchimbi aahidi upanuzi maegesho Kivuko cha Magogoni, Kigamboni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *