CCM kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China

IMG-20260820-WA0016-1024x1014 CCM  kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Xu Sujiang, huku akisisitiza dhamira ya CCM ya kuendelea kuimarisha uhusiano wa kihistoria na wa kimkakati kati ya vyama hivyo viwili.

Kikao hicho kimefanyika leo Agosti 20,2026 katika Makao Makuu ya CCM, Dodoma, ambapo Ndugu Xu ametumia nafasi hiyo kuaga rasmi kabla ya kuhitimisha majukumu yake nchini Tanzania

IMG-20260820-WA0017-1024x686 CCM  kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China
IMG-20260820-WA0014-1024x593 CCM  kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China
IMG-20260820-WA0015-1024x820 CCM  kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *