Balozi Nchimbi ashiriki mazishi ya Askofu Shauri

WhatsApp-Image-2026-05-06-at-00.01.18-1024x867 Balozi Nchimbi ashiriki mazishi ya Askofu Shauri

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Ruvuma kushiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Askofu wa Pili wa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma na Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Marehemu Askofu Stanford Shauri, Ibada inayofanyika Liuli Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma leo Mei 06, 2026.

WhatsApp-Image-2026-05-06-at-00.01.18-1-971x1024 Balozi Nchimbi ashiriki mazishi ya Askofu Shauri
WhatsApp-Image-2026-05-06-at-00.01.20-1024x764 Balozi Nchimbi ashiriki mazishi ya Askofu Shauri
WhatsApp-Image-2026-05-06-at-00.01.20-1-1024x755 Balozi Nchimbi ashiriki mazishi ya Askofu Shauri
WhatsApp-Image-2026-05-06-at-00.01.21-1024x878 Balozi Nchimbi ashiriki mazishi ya Askofu Shauri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *