CGP Katungu: Fanyeni Kazi Kwa Weledi na Moyo wa Kujituma

Mkuu wa Jeshi la Magereza (CGP), Jeremiah Yoram Katungu, amewataka viongozi na watendaji wa Jeshi la…

Lissu Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Minne Jela

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia…

TMDA Queens Yaanza Vyema SHIMMUTA -2026 Yaichapa IAE Magoli 45-23

Na Mwandishi Wetu, Morogoro TIMU ya Netiboli ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA Queens)…

Polygold Yapewa Siku 30 Kukamilisha Mpango wa Ufungaji Mgodi

Na Mwandishi Wetu, Dodoma KAMATI ya Kitaifa ya Ufungaji Migodi imeipa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya…

Serikali Kusimamia Ufungaji Migodi, Utunzaji Mazingira

Na Mwandishi Wetu, Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeielekeza Wizara ya Madini kuimarisha…

Bunge Laridhia Azimio la Tanzania Kujiunga na Mkataba wa Usalama Angamtandao

Na Mwandishi Wetu – WMTH, Bungeni Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Azimio…

Tanzania Yaweka Wazi Mafanikio ya Haki za Binadamu Geneva

Tanzania imewasilisha mafanikio na hatua zilizochukuliwa kuimarisha haki za binadamu, ikiwemo mageuzi katika sekta ya sheria,…

TANESCO Yaeleza Chanzo Tatizo la Umeme Mbagala hadi Kibiti

-Ni kufuatia hitilafu katika njia ya kusafirisha umeme ya ardhini yenye msongo wa kV 132 eneo…

Shemdoe: Serikali za Mitaa ni Msingi wa Umoja wa Afrika Mashariki

Na Mwandishi Wetu, Kenya WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na…

DCP Lyimo Ahimiza Miradi Yenye Tija kwa Mtandao wa Wanawake

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWENYEKITI wa Mtandao wa wanawake wa Jeshi la Magereza, Naibu Kamishna wa…