Mkurugenzi WHO Ashiriki Mkutano wa IPU 153

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Tedros Ghebreyesus, ameshiriki Mkutano wa 153 wa…

Dkt. Homera Azindua Mifumo Ya Upatikanaji Umeme kwa Haraka, Rahisi

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, amezindua mifumo mipya…

Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania

Wageni mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wametembelea Banda la “Karibu…

Spika wa Maldives Atembelea Banda la Karibu Tanzania

Spika wa Bunge la Maldives, Abdul Raheem Abdulla, ni miongoni mwa wageni waliotembelea Banda la “Karibu…

Spika wa Seneti Kenya atembelea Banda la Tanzania Mkutano wa IPU 153

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Spika wa Bunge la Seneti la Kenya, Amason J. Kingi, EGH, akipokea…

Mkutano wa IPU 153 Unaendelea Leo Oktoba 6, 2026 Jijini Arusha

Matukio mbalimbali katika picha wakati mijadala ikiwa inaendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC),…

Homera Kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja Uliohusishwa na TANESCO

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, akiingia katika Ukumbi…

Spika wa Bunge Uingereza ashiriki Mkutano wa IPU Arusha

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, akisalimiana na Spika wa…

Spika wa Uingereza ampendekeza Zungu Rais Mkutano wa IPU 153

Na Mwandishi Wetu, Arusha Spika wa Bunge la Uingereza (House of Commons), Sir Lindsay Hoyle, amependekeza…

Spika Zungu Achaguliwa Rais Mkutano wa 153 IPU

Na Mwandishi Wetu, Arusha SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan…