Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba

WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.18.01-1-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba

Na Mwandishi Wetu

NYOTA wa zamani wa Klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya England, Rio Ferdinand akiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, wamepata nafasi ya kufanya utalii wa puto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti inayotambulika duniani kwa mandhari yake ya kipekee, wanyama wengi pamoja na uzuri wa asili unaovutia maelfu ya watalii kutoka mataifa mbalimbali.

Utalii huo walioufanya leo Mei 2026, kupitia puto lililowapeleka angani, Rio Ferdinand amepata fursa ya kuona uhamaji mkubwa wa nyumbu ndani ya hifadhi hiyo, tukio ambalo ni moja ya maajabu ya dunia na moja ya vivutio vikubwa vinavyoifanya Serengeti kuwa maarufu kimataifa.

Aidha, siku ya kwanza baada ya kutua katika uwanja mdogo wa ndege wa Seronera uliopo ndani ya hifadhi hiyo, Rio Ferdinand alipata nafasi ya kuwaona simba kwa ukaribu, jambo ambalo amesema lilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu kabla ya kuwasili nchini Tanzania.

Tanzania inaendelea kujivunia kuwa miongoni mwa mataifa yenye idadi kubwa ya simba duniani, ikiwa inakadiriwa kuwa na zaidi ya simba 17,000 wanaopatikana katika hifadhi mbalimbali za taifa, hali inayochangia kukuza utalii na uhifadhi wa wanyamapori nchini.

WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.44-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.49-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.51-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.52-1-1024x674 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.53-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.53-1-683x1024 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.55-1-683x1024 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.56-683x1024 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.57-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.58-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.59-1024x664 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.17.59-1-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.18.00-1024x683 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba
WhatsApp-Image-2026-05-21-at-03.18.01-1024x669 Rio Ferdinand avutiwa na utalii wa Serengeti, ashuhudia uhamaji wa nyumbu na Simba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *