Wakiteta jambo katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

WhatsApp-Image-2026-04-29-at-03.26.38 Wakiteta jambo katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MDkt. Emmanuel Nchimbi, kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Jijini Dar es Salaam kwa siku mbili na kukamilika leo Jumatano Aprili 29, 2026.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *