Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Uzinduzi wa Minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na Makabidhiano ya Mkongo wa Mawasiliano Serikalini ukumbi wa Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma leo Aprili 10,2026.

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa uzinduzi wa minara hiyo na viongozi walioshiriki katika hafla hiyo.

WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.39-1-1024x606 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano
WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.39-1024x682 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano
WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.38-1-1024x682 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano
WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.38-1024x682 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano
WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.35-1-1024x619 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano
WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.36-2-1024x531 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano
WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.35-2-1024x682 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano
WhatsApp-Image-2026-04-10-at-04.07.34-1024x674 Rais Samia azindua minara 758 ya mawasiliano

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *