Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere

WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.55-1024x665 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere

MAKATIBU Wakuu wa Vyama Rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, kwenye Kikao cha Bodi ya Wadhamini wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), kilichofanyika leo Machi 4, 2026, Kibaha, mkoani Pwani.

Wajumbe wengine waliohudhuria kikao hicho ni; Katibu Mkuu wa Chama cha ANC (Afrika Kusini), Fikile Mbalula, Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO (Msumbiji), Chakil Felizardo Passadas Aboobacar, Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU-PF (Zimbabwe), Jacob Francis Nzwindamilimo Mudenda, Chama cha SWAPO (Namibia), kimewakilishwa na Mjumbe wa Kamati Kuu, Dkt. Samuel Abraham Peyavali Mushelenga na Chama cha MPLA (Angola) kimewakilishwa na Mjumbe wa Kamati Kuu, Frederico Toth Jorge De Miranda.

WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.55-1-1024x824 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere
WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.54-1-1024x562 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere
WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.54-1024x621 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere
WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.53-1024x701 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere
WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.50-1024x608 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere
WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.49-1024x551 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere
WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.48-1024x552 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere
WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.47-1024x947 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha ANC (Afrika Kusini), Fikile Mbalula (kulia pichani) pia Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO (Msumbiji), Chakil Felizardo Passadas Aboobacar (kushoto pichani), kabla ya kuanza Kikao cha Bodi ya Wadhamini wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), kilichoketi leo Machi 4, 2026, Kibaha, mkoani Pwani. Wajumbe wa kikao hicho ni Makatibu wa Vyama Rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika. Vyama vingine ni SWAPO (Namibia), ZANU – PF (Zimbabwe) na MPLA (Angola).

WhatsApp-Image-2026-03-04-at-05.15.45-1-1024x553 Dkt. Migiro aongoza kikao bodi ya wadhamini Shule ya Uongozi wa Mwalimu Nyerere

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *