Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi

Na Mwandishi Wetu

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndugu Stephen Wasira, amewasili leo mkoani Kilimanjaro kwa ziara rasmi ya kikazi ya siku 5 Mkoani humo.

Wasira amepokelewa na viongozi mbalimbali wa chama wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi, alipowasili Katika Ofisi za CCM mkoani hapo

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa, Wasira anatarajiwa kukutana na kuzungumza na viongozi na wanachama wa CCM ngazi zote ndani ya mkoa huo. Lengo ni kuimarisha mshikamano na kupata uelewa wa changamoto zinazowakabili.

Kilele cha ziara hiyo kitakuwa Juni 8, 2026 ambapo anatarajiwa kuongoza mkutano wa hadhara na wananchi wa Wilaya ya Same.

WhatsApp-Image-2026-06-05-at-06.51.46-1024x802 Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-06.51.50-1024x683 Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-06.51.53-1024x683 Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-06.51.58-1024x713 Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-06.52.02-1024x683 Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-06.52.07-1024x693 Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-06.52.11-1024x783 Wasira awasili Kilimanjaro kwa ziara yake ya kikazi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *