Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050

WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.43-1024x846 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Asha-Rose Migiro, leo Ijumaa Juni 5,2026 amefanya mazungumzo na Mheshimiwa Marianne Young, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, katika Makao Makuu ya CCM, Dodoma.

Mazungumzo hayo yalihusu maeneo ya ushirikiano wa maendeleo kati ya Tanzania na Uingereza, kwa kuzingatia vipaumbele vilivyobainishwa katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).

Viongozi hao walijadili fursa za kuendeleza ushirikiano kwenye maendeleo ya kijamii na kiuchumi, hususan katika kuwawezesha vijana na wanawake kupitia elimu, ujuzi, ubunifu na uwekezaji.

CCM inaendelea kuthamini ushirikiano wa kimataifa unaochangia maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi wa Tanzania.

WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.42-1-1024x796 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.41-1024x717 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.41-1-1024x775 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.41-2-1024x717 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.40-1-1024x682 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.40-1024x922 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050
WhatsApp-Image-2026-06-05-at-04.00.38-960x1024 Katibu Mkuu wa CCM akutana na Balozi wa Uingereza kujadili ushirikiano wa Maendeleo na Dira 2050

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *