
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Samwel Malecela, katika makazi yake Kilimani Jijini Dodoma leo Mei 13, 2026.


