Watumishi SGR kwenye bajeti ya uchukuzi bungeni

WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.04-1024x682 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni

Wahudumu wa ndani (Train crew) wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) upande wa Standard Gauge Railway (SGR) wamehudhuria Bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko maalum wa Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ili kuweza kushuhudia uwasilishwaji wa hotuba ya bajeti ya uchukuzi ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/27.

WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.05-1024x682 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni
WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.06-1024x682 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni
WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.06-1-1024x682 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni
WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.07-1024x682 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni
WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.08-1024x682 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni
WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.09-1024x682 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni
WhatsApp-Image-2026-05-13-at-06.09.11 Watumishi SGR kwenye bajeti  ya uchukuzi bungeni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *