INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi

WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.40-1024x676 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Aprili 14, 2026 amekutana na kuzungumza na mjumbe maalum Jumuiya ya Madola (Commonwealth) Rais wa zamani wa Malawi, Lazarus McCarthy Chakwera, ambaye alitembelea ofisi za Tume Njedengwa jijini Dodoma. Ziara hiyo maalum ya mjumbe huyo wa Jumuia ya Madola ililenga kuangalia namna Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyofanyika. (Picha na INEC).

WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.41-1024x584 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.42-1024x608 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.42-1-1-1024x682 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.48-1024x666 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.49-1024x682 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.52-1024x682 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi
WhatsApp-Image-2026-04-14-at-09.04.53-1024x674 INEC yateta na Rais Mstaafu wa Malawi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *