Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM

WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.50-1024x848 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameungana na viongozi pamoja na wananchi mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, iliyofanyika Chato mkoani Geita, leo Machi 17 2026.

Misa hiyo imeongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge – Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi.

WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.57-1024x664 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.30-1024x749 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.45-1024x660 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.41-1024x707 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.38-1024x686 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.35-1024x721 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.25-1024x721 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.22-1024x709 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.19-1024x757 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.09-1024x675 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.28.06-1024x683 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM
WhatsApp-Image-2026-03-17-at-00.27.57-1024x683 Makamu wa Rais aongoza kumbukizi ya miaka mitano kifo cha JPM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *