
Jana usiku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan, alifuturisha makundi mbalimbali ya wananchi Ikulu ndogo ya Arusha ikiwa ni sehemu ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Matukio tofauti katika picha yakionesha Rais Samia akigawa futari kwa makundi ya watu walioshiriki futari hiyo wakiwa watoto, jana Machi 01,2026, Ikulu ndogo Arusha.







