Rais Samia ateta ateta na Balozi wa Singapore nchini Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Douglas Foo, leo Februari 27, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha Uhusiano baina nchi hizi mbili haswa katika masuala ya teknolojia, elimu, afya na miundombinu.

WhatsApp-Image-2026-02-27-at-00.40.38 Rais Samia ateta ateta na Balozi wa Singapore nchini Tanzania
WhatsApp-Image-2026-02-27-at-00.40.44 Rais Samia ateta ateta na Balozi wa Singapore nchini Tanzania
WhatsApp-Image-2026-02-27-at-00.40.49-1 Rais Samia ateta ateta na Balozi wa Singapore nchini Tanzania
WhatsApp-Image-2026-02-27-at-00.40.53-1024x649 Rais Samia ateta ateta na Balozi wa Singapore nchini Tanzania
WhatsApp-Image-2026-02-27-at-00.41.02 Rais Samia ateta ateta na Balozi wa Singapore nchini Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *