Wasira ateta na Mama Maria Nyerere- Dar

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wasira amemtembelea Mama Maria Nyerere leo, Februari 18, 2026 nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam ambapo wamepata fursa ya kufanya mazungumzo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *