Mwenezi Mjema ameyasema hayo akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 katika kituo cha Afya cha Ifingo kilichopo kwenye Halamshauri ya mji wa Mafinga wilayani Mufindi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema ameeleza jinsi CCM inavyoridhishwa na mikakati ya Rais Samia katika kuhakikisha huduma za Afya zinaboreshwa nchini.