Dkt. Nchimbi azisaka kura za CCM wanging’ombe

WhatsApp-Image-2025-09-23-at-04.58.04-1024x696 Dkt. Nchimbi azisaka kura za CCM wanging'ombe

Na Mwandishi Wetu, Njombe

MGOMBEA mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi anaendelea kusaka kura za ushindi wa kishindo za mgombea urais wa chama hicho, Dkt.Samia Suluhu Hassan, za Wabunge na Madiwani, ambapo leo Septemba 23, 2025 ameingia siku ya pili ya kufanya mikutano ya kampeni mkoani Njombe.

Picha mbalimbali za Dkt. Nchimbi alipowasili katika mkutano wake wa kampeni unaofanyika katika Uwanja wa Igwachanya, wilayani Wanging’ombe.

WhatsApp-Image-2025-09-23-at-04.58.06-1-1024x624 Dkt. Nchimbi azisaka kura za CCM wanging'ombe
WhatsApp-Image-2025-09-23-at-04.58.06-1024x569 Dkt. Nchimbi azisaka kura za CCM wanging'ombe
WhatsApp-Image-2025-09-23-at-04.58.05-1024x552 Dkt. Nchimbi azisaka kura za CCM wanging'ombe
WhatsApp-Image-2025-09-23-at-04.58.03-1024x610 Dkt. Nchimbi azisaka kura za CCM wanging'ombe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *