Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM

WhatsApp-Image-2025-08-12-at-12.02.02-PM-1024x637 Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 12, 2025, aliongoza viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa wa CCM na Watanzania wapenda maendeleo katika harambee ya kuchangisha fedha, iliyolenga kukusanya kiasi cha Sh. bilioni 100 kwaajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam ambapo CCM ilikusanya Sh. bilioni 86.

WhatsApp-Image-2025-08-12-at-12.02.03-PM-1024x726 Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM
WhatsApp-Image-2025-08-12-at-12.02.11-PM-1024x536 Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM
WhatsApp-Image-2025-08-12-at-12.02.15-PM-1024x570 Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM
WhatsApp-Image-2025-08-12-at-12.02.16-PM-1024x628 Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM
WhatsApp-Image-2025-08-12-at-12.02.18-PM-1024x580 Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM
WhatsApp-Image-2025-08-12-at-12.02.21-PM-1024x675 Rais Samia akusanya bil. 86/- harambee ya Uchaguzi CCM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *