Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma

IMG-20261030-WA0003-831x1024 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Wananchi na vikundi mbalimbali vya ngoma za asili wakionesha burudani na shamrashamra za furaha wakati wakisubiri mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, hapa Stesheni ya SGR Dodoma.

Rais Samia atazindua rasmi majengo ya Ofisi, Wizara, Taasisi za Serikali, na barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Oktoba 30, 2026.

IMG-20261030-WA0000-1024x683 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma
IMG-20261030-WA0002-1024x683 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma
IMG-20261030-WA0004-1024x740 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma
IMG-20261030-WA0005-757x1024 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma
IMG-20261030-WA0008-740x1024 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma
IMG-20261030-WA0006-1024x814 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma
IMG-20261030-WA0006-1-1024x814 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma
IMG-20261030-WA0007-965x1024 Hiyo leo hiyo Mji wa Serikali Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *