Waziri Mkuu Ahani Msiba wa Baba Mzazi wa IGP Wambura

WhatsApp-Image-2026-10-27-at-01.13.27-1024x576 Waziri Mkuu Ahani Msiba wa Baba Mzazi wa IGP Wambura

WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026 amehani msiba wa Deusdedit Mwita Wambura ambaye ni Baba Mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam Oktoba 24, 2026.

WhatsApp-Image-2026-10-27-at-01.13.35-1024x586 Waziri Mkuu Ahani Msiba wa Baba Mzazi wa IGP Wambura
WhatsApp-Image-2026-10-27-at-01.13.42-1024x576 Waziri Mkuu Ahani Msiba wa Baba Mzazi wa IGP Wambura
WhatsApp-Image-2026-10-27-at-01.13.49-1024x592 Waziri Mkuu Ahani Msiba wa Baba Mzazi wa IGP Wambura
WhatsApp-Image-2026-10-27-at-01.13.57-1024x548 Waziri Mkuu Ahani Msiba wa Baba Mzazi wa IGP Wambura

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *