Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania

WhatsApp-Image-2026-10-06-at-04.04.37-1-1024x682 Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania

Wageni mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wametembelea Banda la “Karibu Tanzania” jijini Arusha, ambako wamepata fursa ya kufahamu historia ya Tanzania, safari yake ya demokrasia na hatua mbalimbali za maendeleo.

Katika banda hilo, wageni wamepata maelezo kuhusu miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa nchini, pamoja na hatua zilizopigwa katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, afya, elimu, uwezeshaji wa wanawake na utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).

#IPU153Tanzania

WhatsApp-Image-2026-10-06-at-04.04.37-1024x682 Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-04.04.36-2-1024x682 Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-04.04.36-1-1024x682 Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-04.04.36-1024x682 Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-04.04.35-2-1-1024x682 Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-04.04.35-1024x683 Washiriki IPU Wajionea Miradi ya Maendeleo Katika Banda la Karibu Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *